Ufafanuzi wa rodi katika Kiswahili

rodi

nomino

  • 1

    kioo cha miwani kinachovaliwa kwenye jicho moja.

Matamshi

rodi

/rɔdi/