Ufafanuzi wa roga katika Kiswahili

roga, loga

kitenzi elekezi

  • 1

    dhuru kwa uchawi.

    cheza, sihiri