Ufafanuzi wa ronda katika Kiswahili

ronda

nomino

  • 1

    samaki wa baharini anayefanana na dagaa lakini mkubwa kidogo.

Matamshi

ronda

/rɔnda/