Ufafanuzi wa roromoa katika Kiswahili

roromoa

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu, k.v. kidonda kipanuke.

Matamshi

roromoa

/rɔrɔmɔwa/