Ufafanuzi wa rozari katika Kiswahili

rozari

nominoPlural rozari

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtungo wa shanga hamsini na tisa pamoja na msalaba ambao hutumiwa katika sala na baadhi ya madhehebu ya Ukristo.

  • 2

    Kidini
    aina ya tasbihi.

Asili

Kng

Matamshi

rozari

/rɔzari/