Ufafanuzi wa ruba katika Kiswahili

ruba, rubaluba

nomino

  • 1

    mdudu anayefanana na nyungunyungu afyonzaye damu na huishi kwenye sehemu za majimaji.

    mbaluba

Matamshi

ruba

/ruba/