Ufafanuzi msingi wa rubuni katika Kiswahili

: rubuni1rubuni2

rubuni1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    ghilibu mtu ashiriki au aingie katika jambo au shauri ulitakalo.

    nyenga, hadaa

Asili

Kar

Matamshi

rubuni

/rubuni/

Ufafanuzi msingi wa rubuni katika Kiswahili

: rubuni1rubuni2

rubuni2

nominoPlural rubuni

  • 1

    sehemu ya malipo ya thamani ya kitu ambayo hulipwa ili kukifunga kisije kikanunuliwa na mtu mwingine.

    advansi

Asili

Kar

Matamshi

rubuni

/rubuni/