Ufafanuzi wa rungu katika Kiswahili

rungu

nominoPlural marungu

  • 1

    fimbo yenye kivimbe upande mmoja, agh. huwa mviringo na ndio upande unaotumika kwa kupigia.

Matamshi

rungu

/rungu/