Ufafanuzi msingi wa rusha katika Kiswahili

: rusha1rusha2

rusha1

kitenzi elekezi

  • 1

    tupa kitu hewani.

    ‘Alilirusha jiwe kunipiga’

Matamshi

rusha

/ru∫a/

Ufafanuzi msingi wa rusha katika Kiswahili

: rusha1rusha2

rusha2

kitenzi elekezi

  • 1

    kataa kulipa deni au amana kwa madai kuwa hudaiwi au huna amana ya mtu.

    ‘Amenirusha fedha zangu’

Matamshi

rusha

/ru∫a/