Ufafanuzi wa rushwa katika Kiswahili

rushwa

nominoPlural rushwa

 • 1

  fedha au kitu cha thamani kinachotolewa na kupewa mtu mwenye madaraka ya jambo fulani ili mtoaji apatiwe upendeleo.

  ‘Rushwani adui wa haki’
  ‘Toa rushwa’
  ‘Pokea rushwa’
  chai, chauchau, chirimiri, kiinikizo, kilemba, chichiri, hongo, kadhongo, mvugulio, mlungula

Asili

Kar

Matamshi

rushwa

/ru∫wa/