Ufafanuzi wa saba katika Kiswahili

saba

nomino

 • 1

  tarakimu ‘7’ au idadi kamili baina ya sita na nane.

 • 2

  fungate

 • 3

  idadi inayotumika katika shughuli za kimila k.v. kutibu mgonjwa au kuhamisha mwari.

  ‘Mgonjwa huyu itabidi akae ndani saba mbili’

Asili

Kar

Matamshi

saba

/saba/