Ufafanuzi wa sabahi katika Kiswahili

sabahi

kitenzi elekezi

  • 1

    taka mtu hali au amkia mtu wakati wa asubuhi.

    amkia

Asili

Kar

Matamshi

sabahi

/sabahi/