Ufafanuzi wa Sabato katika Kiswahili

Sabato

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    siku ya Jumamosi ya kumuabudu Mungu kama wanavyoamini waumini wa madhehebu ya Kisabato.

Asili

Kng

Matamshi

Sabato

/sabatÉ”/