Ufafanuzi wa sabuni katika Kiswahili

sabuni

nominoPlural sabuni

  • 1

    mchanganyiko wa vitu vinavyotokana na mafuta ya aina mojawapo ya magadi na ambayo hutumiwa kwa kufulia, kuogea au kusafishia vitu.

Matamshi

sabuni

/sabuni/