Ufafanuzi wa sadiki katika Kiswahili

sadiki

kitenzi elekezi

  • 1

    kubali kwamba maneno au kitendo fulani ni kweli.

    amini

Asili

Kar

Matamshi

sadiki

/sadiki/