Ufafanuzi wa sadikifu katika Kiswahili

sadikifu

kivumishi

  • 1

    -enye ukweli; -enye kuaminika kwamba ni kweli.

Asili

Kar

Matamshi

sadikifu

/sadikifu/