Ufafanuzi wa sagisha katika Kiswahili

sagisha

kitenzi elekezi

  • 1

    saga nafaka kwa kutumia mashine.

Matamshi

sagisha

/sagi∫a/