Ufafanuzi wa sahani katika Kiswahili

sahani

nominoPlural sahani

  • 1

    chombo cha nyumbani chenye umbo la duara, agh. kilichotengenezwa kwa udongo wa kauri, bati au chuma kinachotumiwa kutilia chakula.

    ulio

  • 2

    kitu kilicho bapa kilichotengenezwa kwa ng’amba kinachotoa sauti kinapotiwa kwenye santuri.

    ‘Sahani ya santuri’

Asili

Kar

Matamshi

sahani

/sahani/