Ufafanuzi wa sahari katika Kiswahili

sahari

nomino

  • 1

    kipande cha nguo kilichotengenezwa kwa hariri au pamba kinachotumika kupigia kilemba.

Matamshi

sahari

/sahari/