Ufafanuzi wa sala katika Kiswahili

sala

nomino

 • 1

  Kidini
  maombi kwa Mwenyezi Mungu.

  dua

 • 2

  Kidini
  shughuli ya kumshukuru Mungu.

 • 3

  Kidini
  ibada maalumu katika dini ya Uislamu inayochanganya visomo na vitendo fulani k.v. kurukuu na kusujudu na ambayo ni lazima kutekelezwa; mojawapo ya nguzo tano za Uislamu.

Asili

Kar