Ufafanuzi wa salalaa! katika Kiswahili

salalaa!, salalee!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha mshangao.

    ‘Salalaa Itakuwaje mtu mmoja anywe pipa zima la maji?’
    lo!, afanaleki!

Matamshi

salalaa!

/salala:/