Ufafanuzi wa samadari katika Kiswahili

samadari

nominoPlural samadari

  • 1

    kitanda cha mbao chenye matendegu manene yenye nakshi na chenye tundu juu ya matendegu yake ili kupachikia miti ya besera.

Asili

Khi

Matamshi

samadari

/samadari/