Ufafanuzi wa sanzua katika Kiswahili

sanzua

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua, hamisha au ondoa vitu, agh. bila ya kibali cha mwenyewe.

Matamshi

sanzua

/sanzuwa/