Ufafanuzi msingi wa sapatu katika Kiswahili

: sapatu1sapatu2

sapatu1

nominoPlural sapatu

  • 1

    viatu vya kuvaa kwa sehemu ya mbele ya unyayo.

    koshi

Asili

Kre

Matamshi

sapatu

/sapatu/

Ufafanuzi msingi wa sapatu katika Kiswahili

: sapatu1sapatu2

sapatu2

nominoPlural sapatu

  • 1

    kamba iliyosukwa kwa miyaa ambayo hutengenezwa k.v. vikapu au majamvi.

    sago

Matamshi

sapatu

/sapatu/