Ufafanuzi wa sara katika Kiswahili

sara

kitenzi elekezi

  • 1

    tapakaza kila mahali.

    ‘Mtoto amejisara matope mwili mzima’

Matamshi

sara

/sara/