Ufafanuzi wa sarufi miundo katika Kiswahili

sarufi miundo

  • 1

    tawi la isimu ambalo hujishughulisha na uchanganuzi wa taratibu na kanuni zilizopo baina ya maneno katika lugha.