Ufafanuzi msingi wa sasa katika Kiswahili

: sasa1sasa2sasa3sasa4

sasa1

nominoPlural sasa, Plural masasa

 • 1

  wakati au muda huu.

Matamshi

sasa

/sasa/

Ufafanuzi msingi wa sasa katika Kiswahili

: sasa1sasa2sasa3sasa4

sasa2

kielezi

 • 1

  kwa wakati uliopo.

Asili

Kar

Matamshi

sasa

/sasa/

Ufafanuzi msingi wa sasa katika Kiswahili

: sasa1sasa2sasa3sasa4

sasa3

nominoPlural sasa, Plural masasa

 • 1

  tundu la ndege.

Matamshi

sasa

/sasa/

Ufafanuzi msingi wa sasa katika Kiswahili

: sasa1sasa2sasa3sasa4

sasa4

nominoPlural sasa, Plural masasa

 • 1

  majani kama mchicha yatumikayo kuwa ni mboga.

  kibwando

Matamshi

sasa

/sasa/