Ufafanuzi wa sawazisha katika Kiswahili

sawazisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka kitu, tendo au jambo kama inavyopasa kuwa.

    rekebisha, rausi, sahihisha

  • 2

    linganisha ili kupata usawa.

Asili

Kar

Matamshi

sawazisha

/sawazi∫a/