Ufafanuzi wa sebule katika Kiswahili

sebule

nominoPlural sebule

  • 1

    chumba katika nyumba kinachotumika kwa kupokelea wageni au kuzungumzia.

    ukumbi

Asili

Kar

Matamshi

sebule

/sɛbulɛ/