Ufafanuzi wa segemnege katika Kiswahili

segemnege

kielezi

  • 1

    bila mpango.

    ‘Alijua mambo huenda yakamwendea segemnege iwapo asingechukua hatua mwafaka kutorokea nchi nyingine’
    shaghalabaghala, ovyoovyo

Matamshi

segemnege

/sɛgɛmnɛgɛ/