Ufafanuzi wa sekeneko katika Kiswahili

sekeneko

nominoPlural i

  • 1

    ugonjwa unaoshika sehemu za uke au uume na huambukizwa, agh. kwa njia ya kujamiiana.

    farangi, kaswende, pangusa

Matamshi

sekeneko

/sɛkɛnɛkɔ/