Ufafanuzi wa sekondari katika Kiswahili

sekondari

nomino

  • 1

    ngazi katika mfumo wa elimu iliyo juu ya ile ya msingi, inayoanzia kidato cha kwanza hadi cha nne au sita.

    upili

Asili

Kng

Matamshi

sekondari

/sɛkɔndari/