Ufafanuzi wa seminari katika Kiswahili

seminari

nominoPlural seminari

Kidini
  • 1

    Kidini
    shule au chuo cha vijana wanaosomea uongozi wa dini.

  • 2

    Kidini
    shule ambayo inamilikiwa na madhehebu ya dini.

Asili

Kng

Matamshi

seminari

/sɛminari/