Ufafanuzi wa senga katika Kiswahili

senga

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    kata kwa kutumia kitu chenye makali.

Matamshi

senga

/sɛnga/