Ufafanuzi wa sentimeta katika Kiswahili

sentimeta

nomino

  • 1

    kipimo cha urefu cha meta 0.01 au milimeta 10.

Asili

Kng

Matamshi

sentimeta

/sɛntimɛta/