Ufafanuzi wa sepetu katika Kiswahili

sepetu

nomino

  • 1

    chombo mfano wa kijiko kikubwa sana, agh. hutumiwa kuchotea mchanga.

    koleo, beleshi, shepe

Asili

Kng

Matamshi

sepetu

/sɛpɛtu/