Ufafanuzi wa seremala katika Kiswahili

seremala

nominoPlural maseremala

  • 1

    fundi wa kuranda na kutengeneza samani za mbao au miti na kuezeka.

Asili

Kar

Matamshi

seremala

/sɛrɛmala/