Ufafanuzi wa serereka katika Kiswahili

serereka

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda kasi kwa kuteleza kama afanyavyo anayetaka kuanguka.

    teleza, pepesuka, sepetuka

Matamshi

serereka

/sɛrɛrɛka/