Ufafanuzi wa seteka katika Kiswahili

seteka

kitenzi sielekezi

  • 1

    ingia ndani.

    ‘Ilivyokuwa pua yake imeseteka, midomo yake minene ilipata nafasi ya kujitoa’
    bonyea

Matamshi

seteka

/sɛtɛka/