Ufafanuzi wa shabu katika Kiswahili

shabu

nominoPlural shabu

  • 1

    chumvi chungu ya jiwe jeupe ambayo hutumika kutiwa katika vidimbwi vya maji ili kuyatakasa, kurowekea ngozi za viatu, kutia katika kili ili zikolee rangi, kusugulia fedha au kulainishia vyakula vigumu k.v. maharage.

Matamshi

shabu

/∫abu/