Ufafanuzi msingi wa shaha katika Kiswahili

: shaha1shaha2shaha3

shaha1

nominoPlural mashaha, Plural shaha

 • 1

  mtunzi aliyefikia daraja ya juu kuliko malenga.

Asili

Kaj

Matamshi

shaha

/∫aha/

Ufafanuzi msingi wa shaha katika Kiswahili

: shaha1shaha2shaha3

shaha2

nominoPlural mashaha, Plural shaha

 • 1

  mfalme katika mchezo wa sataranji.

  kingi

Asili

Kaj

Matamshi

shaha

/∫aha/

Ufafanuzi msingi wa shaha katika Kiswahili

: shaha1shaha2shaha3

shaha3

nominoPlural mashaha, Plural shaha

 • 1

  moyo wa mnazi; joyo la mnazi.

Matamshi

shaha

/∫aha/