Ufafanuzi msingi wa shahada katika Kiswahili

: shahada1shahada2

shahada1

nomino

  • 1

    Kidini
    tamko maalumu litamkwalo na Waislamu ili kushuhudia na kukiri kwamba hakuna Mungu anayepasa kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu tu na kwamba Mtume Muhammad (s.a.w.) ni mjumbe wake.

Asili

Kar

Ufafanuzi msingi wa shahada katika Kiswahili

: shahada1shahada2

shahada2

nomino

  • 1

    cheti au karatasi maalumu anayopewa mtu baada ya kupata mafunzo fulani katika chuo ili kuthibitisha kwamba amekamilisha masomo na kufaulu mitihani yake.

    digrii

Asili

Kar

Matamshi

shahada

/∫ahada/