Ufafanuzi wa shambulio katika Kiswahili

shambulio

nominoPlural mashambulio

  • 1

    tendo la kushambulia.

    vamio, hujuma

Matamshi

shambulio

/∫ambulijɔ/