Ufafanuzi msingi wa shanuo katika Kiswahili

: shanuo1shanuo2

shanuo1 , chanuo

nominoPlural mashanuo, Plural shanuo

  • 1

    kitana kikubwa kilichochongwa kutokana na mti, plastiki au chuma kinachotumiwa kuchanulia nywele agh. na wanawake wakati wa kusuka.

Asili

Kaj

Matamshi

shanuo

/∫anuwɔ/

Ufafanuzi msingi wa shanuo katika Kiswahili

: shanuo1shanuo2

shanuo2

nominoPlural mashanuo, Plural shanuo

  • 1

    samaki mwenye umbo la mviringo, mwenye mapezi membamba mgongoni yaliyosimama kama miba ya nungu.

Matamshi

shanuo

/∫anuwɔ/