Ufafanuzi wa shari katika Kiswahili

shari

nominoPlural shari

  • 1

    jambo linaloleta matokeo mabaya ya kuleta hasara.

  • 2

    jambo linalofanywa na mtu ili kumuudhi mwingine.

    ‘Sitaki shari yako’
    ugomvi, chokochoko

Asili

Kar

Matamshi

shari

/∫ari/