Ufafanuzi wa shatashata katika Kiswahili

shatashata

kivumishi

  • 1

    -a kutiwa tui jingi au mafuta mengi.

    ‘Ndizi zimetiwa tui shatashata’

Asili

Kar

Matamshi

shatashata

/∫ata∫ata/