Ufafanuzi wa shati katika Kiswahili

shati

nominoPlural mashati

  • 1

    vazi linalovaliwa sehemu za juu za mwili lenye ukosi na mikono.

Asili

Kng

Matamshi

shati

/∫ati/