Ufafanuzi wa shaufu katika Kiswahili

shaufu

kivumishi

  • 1

    -enye majisifu.

    ‘Jamaa yule ni mshaufu sana’

Asili

Kar

Matamshi

shaufu

/∫awufu/