Ufafanuzi wa shawishi katika Kiswahili

shawishi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa

  • 1

    -pa mtu maelezo ili kutaka kumfanya akubali kufuata fikira au maelezo yako.

  • 2

    fanya mtu avutike kutenda jambo fulani.

    vuta

Asili

Kar

Matamshi

shawishi

/∫awi∫i/