Ufafanuzi wa shawishika katika Kiswahili

shawishika

kitenzi sielekezi

  • 1

    vutiwa na kubaliana na kile kinachoonekana au kusikika.

Asili

Kar

Matamshi

shawishika

/∫awi∫ika/